Maputo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji la Maputo | |
Mahali pa Jiji la Maputo katika Msumbiji |
|
Majiranukta: 25°58′00″S 32°35′00″E | |
Nchi | Msumbiji |
---|---|
Mkoa | Maputo Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,200,000 |
Funga
Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.
Mito miwili inaishia kwenye hori ni Tembe na Maputo.