Manchester
From Wikipedia, the free encyclopedia
Manchester ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uingereza. Mji unajulikana kama "mji mkuu wa kaskazini ya Uingereza".[1]
Kwa maana nyingine, tazama Manchester (maana).
Ukweli wa haraka Nchi, Nchi ya Ufalme ...
Manchester | |
Mahali pa mji wa Manchester katika Uingereza |
|
Majiranukta: 53°28′0″N 2°14′0″W | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Nchi ya Ufalme | Uingereza |
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 458,100 |
Tovuti: www.manchester.gov.uk |
Funga
Manchester una kilabu mbili za mpira ambazo zinajulikana sana, Manchester United na Manchester City.