Lille
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lille ndiyo mji mkuu katika mkoa la Nord-Pas-de-Calais. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 1999, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18-43 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Lille | |
Mahali pa mji wa Lille katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 50°38′14″N 3°3′48″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Nord-Pas-de-Calais |
Wilaya | Nord |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 226,014 |
Tovuti: www.mairie-lille.fr/en |
Funga