Kwirino wa Roma (25 Machi)From Wikipedia, the free encyclopedia Kwirino wa Roma (alifariki Roma, 270 hivi) ni askari Mkristo wa Roma ya Kale aliyefia dini yake. Kifodini cha Mt. Kwirino, mchoro wa Martin Johann Schmidt, 1782. Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu ya Kwirino huadhimishwa tarehe 25 Machi[1].
Kwirino wa Roma (alifariki Roma, 270 hivi) ni askari Mkristo wa Roma ya Kale aliyefia dini yake. Kifodini cha Mt. Kwirino, mchoro wa Martin Johann Schmidt, 1782. Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu ya Kwirino huadhimishwa tarehe 25 Machi[1].