Kukingiwa dhambi ya asili
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kukingiwa dhambi ya asili ni fundisho rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria, kwamba alitungwa mimba bila kurithi dhambi ya asili.
Alipewa na Mungu fadhili hiyo kwa kutanguliziwa stahili za Yesu Kristo, mwanae[2][3].