Krismasi
Sikukuu ya Wakristo ya kusheherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Krismasi (pia Noeli) ni sikukuu ambayo Wakristo wengi husheherekea kuzaliwa kwake Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Kwa kawaida husheherekewa tarehe 25 Desemba katika Ukristo wa magharibi[1] na tarehe 6 Januari katika ule wa mashariki.