KlodFrom Wikipedia, the free encyclopedia Klod (kwa Kifaransa Cloud; kwa Kilatini Clodoaldus; 522 - 560 hivi) alikuwa padri kutoka ukoo wa kifalme wa Orleans huko Ufaransa [1]. Sanamu ya Mt. Klod. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].
Klod (kwa Kifaransa Cloud; kwa Kilatini Clodoaldus; 522 - 560 hivi) alikuwa padri kutoka ukoo wa kifalme wa Orleans huko Ufaransa [1]. Sanamu ya Mt. Klod. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].