Kisiwa cha Tsushima
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tsushima (kwa Kijapani: 対馬, Tsushima) ni kisiwa cha Funguvisiwa la Japani katika eneo la kati la Mlango wa Korea kwenye ramani ya kijiografia 34°25'N na 129°20'E.[1][2] Hiki ni kisiwa kikubwa kabisa cha Mkoa wa Nagasaki. Jiji la Tsushima limeenea katika kisiwa chote.