Kim Kardashian
Mtangazaji wa runinga nchini Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimberly Noel Kardashian[1][2] (alizaliwa Oktoba 21, 1980) ni mwanamitindo, na mfanyabiashara wa Marekani. [3].
Alipata umaarufu kwa mara ya kwanza katika vyombo vya habari kama rafiki na mwanamitindo wa Paris Hilton, lakini alipata sifa zaidi baada ya kanda ya ngono ya Kim Kardashian, Superstar, iliyopigwa mwaka 2002 na mpenzi wake, mwaka wa 2007.