Karine Jean-Pierre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Karine Jean-Pierre (amezaliwa Fort-de-France, Martinique, 13 Agosti 1977) ni mshauri wa kisiasa wa Ufaransa na Marekani ambaye anahudumu kama Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House tangu 13 Mei 2022, kufuatia kuondoka kwa Jen Psaki, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza Mweusi kuwa msemaji wa ikulu ya Marekani. [1] Hapo awali aliwahi kuwa Naibu Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House kwa Psaki kutoka 2021 hadi 2022. Alihudumu kama mkuu wa wafanyikazi wa mgombea Makamu wa Raisi wa Marekani Kamala Harris wakati wa Uchaguzi wa Raisi wa Marekani 2020.
'
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Karine Jean-Pierre | |
---|---|
Jean-Pierre mwaka 2021 | |
Amezaliwa | 13 Agosti 1977 (1977-08-13) (umri 46) ufaransa |
Kazi yake | Msemaji Ikulu ya Marekani |
Funga