Kaizari Galienus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Publius Licinius Egnatius Gallienus (takriban 218 – Septemba 268) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Septemba 253 hadi kifo chake. Mpaka mwaka wa 260 alitawala pamoja na baba yake, Kaizari Valerian. Walimfuata Aemilianus.