Januari mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Januari mfiadini (Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia - Pozzuoli, Campania, karne ya 3) alikuwa askofu wa Benevento.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba[1].