JaniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Jani ni ogani ya mimea na kazi yake ya msingi ni usanisinuru na upumuaji (badiliko la gesi). Kwa hiyo ni sehemu ya mmea iliyopo juu ya ardhi. Majani yenye umbo la sindano Muundo wa jani
Jani ni ogani ya mimea na kazi yake ya msingi ni usanisinuru na upumuaji (badiliko la gesi). Kwa hiyo ni sehemu ya mmea iliyopo juu ya ardhi. Majani yenye umbo la sindano Muundo wa jani