Gozelino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gozelino (kwa Kifaransa: Gauzelin; karne ya 9 - 7 Septemba 962) alikuwa askofu wa Toul, katika eneo la Ufaransa wa leo, tangu mwaka 922[1][2] hadi kifo chake [2][3] .
Alistawisha nidhamu kati ya wamonaki [3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.