Gerlako
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gerlako (pia: Gerlach, Gerlache, Gerlac, Gerlachus; Houtem, leo nchini Uholanzi, 1100 hivi - Houtem, 1170 hivi) alikuwa mkaapweke karibu na Valkenburg, mkoa wa Limburg, aliyejulikana kwa jinsi alivyohudumia watu fukara[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.