Eufroni wa Autun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eufroni wa Autun (alifariki baada ya mwaka 472) alikuwa askofu wa mji huo[1], Galia, leo Ufaransa kati ya mwaka 450 na 490[2].
Alijenga basilika la Sinforiani wa Autun na kupamba zaidi kaburi la Martino wa Tours[3].
Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, halafu na Waanglikana kama mtakatifu[4].