Eskil wa Tuna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eskil wa Tuna (Uingereza, karne ya 10 - Uswidi, karne ya 11) alikuwa askofu mmisionari huko Uswidi hadi alipouawa kwa kupigwa mawe mwaka 1038 au 1080[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.