Emilie Autumn
Mwanamuziki wa Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Emilie Autumn Liddell[1] (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Emilie Autumn; alizaliwa Septemba 22, 1979) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, mshairi, mwandishi na mpiga gitaa wa nchini Marekani.
Mtindo wa muziki wa Autumn unaelezewa ni kama "Fairy Pop", "Fantasy Rock" au "Victoriandustrial".[2][3]