Emerita wa Roma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Emerita wa Roma (alifariki Roma, 259 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Valerian[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini, pengine pamoja na Digna wa Roma.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba[2].