Ekuador
ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ekuador (kwa Kiswahili pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: "Dios, patria y libertad" ("Mungu, taifa na uhuru") | |||||
Wimbo wa taifa: Salve, Oh Patria (usalimiwe e taifa) | |||||
Mji mkuu | Quito 00°9′ S 78°21′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Guayaquil | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali Rais |
Jamhuri Daniel Noboa | ||||
Uhuru Kutoka Hispania kutoka Gran Colombia |
24 Mei 1822 13 Mei 1830 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
283,560 km² (ya 75) 5 | ||||
Idadi ya watu - 2023 kadirio - 2022 sensa - Msongamano wa watu |
17,483,326[1] (ya 73) 16,938,986[2] 69/km² (ya 148) | ||||
Fedha | U.S. dollar (USD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5; UTC -6 (Galápagos Islands)) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ec | ||||
Kodi ya simu | +593
- |
Funga
Jina la nchi kwa Kihispania (Ecuador) lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo.
Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki.
Funguvisiwa la Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu kilomita 1,000 kutoka bara.