Edward Shahidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Edward Shahidi (jina asili: Eadweard II; 962 hivi - Wareham, 18 Machi 978) alikuwa mfalme wa Uingereza tangu tarehe 8 Julai 975 hadi alipouawa bado kijana huko Corfe Castle, Dorset kwa agizo la mama yake wa kambo. [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana wanaadhimishwa sikukuu yake tarehe ya kifodini chake[2].