Dunkerque
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dunkerque (kwa Kiing.: Dunkirk) ni mji wa Ufaransa katika Nord-Pas-de-Calais.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Dunkerque | |||
| |||
Mahali pa mji wa Dunkerque katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 51°02′18″N 2°22′39″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Nord-Pas-de-Calais | ||
Wilaya | Nord | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 265,974 | ||
Tovuti: www.ville-dunkerque.fr |
Funga
Mji huo ni bandari kwenye mwambao wa Mfereji wa Kiingereza.
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kulitokea hapo mapigano ya Dunkirk ya 1939 ambapo wanajeshi laki tatu wakiwemo Waingereza na Wafaransa walizingirwa na Wajerumani. Ujerumani ilisimamisha wanajeshi wake kwa muda na Uingereza ilitumia nafasi hiyo kutuma meli na maboti mengi Dunkirk ikafaulu kuokoa sehemu kubwa ya askari zake.