Disibodo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Disibodo (pia: Disibod, Disibode, Disen; Ireland, 619 - Ujerumani, 700 hivi) alikuwa mkaapweke lakini pia korepiskopo mmisionari huko Rhine-Palatino kuanzia mwaka 640[1].
Baada ya kupata wafuasi wengi alianzisha monasteri kwenye mto Nahe[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.