Dijon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dijon ndiyo mji mkuu katika mkoa la Bourgogne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 263,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 321-602 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Dijon | |
Mahali pa mji wa Dijon katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 47°19′18″N 5°02′29″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Bourgogne |
Wilaya | Côte-d'Or |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 151,504 |
Tovuti: www.dijon.fr |
Funga