Colombo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Colombo ni mji mkubwa wa Sri Lanka wenye wakazi 647,100 (2001).[1] Ilikuwa mji mkuu wa nchi hii tangu mwaka 1814 mpaka mwaka 1978.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Colombo | |
Mahali pa mji wa Colombo katika Sri Lanka |
|
Majiranukta: 6°56′04″N 79°50′34″E | |
Nchi | Sri Lanka |
---|---|
Mkoa | Sri Lanka Magharibi |
Wilaya | Wilaya ya Colombo |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 647,100 |
Tovuti: www.cmc.lk |
Funga
Asili ya jina ni neno la Kisinhala "Kolamba" linalomaanisha bandari.