Chui (Pantherinae)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja (simba), wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine zinatokea savana na hata milima.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Chui | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui-theluji (Panthera uncia) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2: | ||||||||||||||
Funga