Chui-theluji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Chui-theluji (Kisayansi: Panthera uncia au Uncia uncia zamani) ni mnyama mwenye manyoya marefu meupe afananaye na chui. Anaishi milimani mwa Asia ya Kati na aliye na madoa meusi.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Chui-theluji | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui-theluji Uncia uncia | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Msambao wa chui-theluji: mkazi (machungwa) au labda (machungwa isiyoiva) | ||||||||||||||||||
Funga