Beatus wa Vendome
From Wikipedia, the free encyclopedia
Beatus wa Vendome (kwa Kifaransa: Béat, Bienheuré, Bié; aliishi karne ya 7 hivi[1]) alikuwa padri aliyeishi kama mkaapweke nchini Ufaransa[2][3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.