Barbara wa NikomediaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Barbara (kwa Kigiriki: Βαρβάρα) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ugiriki wa Kale[1][2] anayesemekana kuwa alikatwa kichwa na baba yake kwa sababu ya imani yake. Mt. Barbara alivyochorwa mwaka 1447, National Museum in Warsaw, Poland. Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu bikira mfiadini[3]. Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].
Barbara (kwa Kigiriki: Βαρβάρα) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ugiriki wa Kale[1][2] anayesemekana kuwa alikatwa kichwa na baba yake kwa sababu ya imani yake. Mt. Barbara alivyochorwa mwaka 1447, National Museum in Warsaw, Poland. Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu bikira mfiadini[3]. Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].