Austreberta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Austreberta (Therouanne, Artois, leo nchini Ufaransa, 630; Rouen, Normandy, leo nchini Ufaransa, 704 hivi) alikuwa bikira wa ukoo maarufu ambaye alijiunga na monasteri ya Wabenedikto huko Pavilly akawa abesi wake kwa miaka arubaini[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama watakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[2]..