Aurea wa Ostia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aurea wa Ostia (alifariki Ostia[1], Roma) ni kati ya Wakristo wa Italia waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi yao[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[3].