Andrea Barzagli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Andrea Barzagli (alizaliwa tarehe 8 Mei 1981) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama beki wa katikati wa klabu ya Juventus.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Andrea Barzagli
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Italia |
Nchi anayoitumikia | Italia |
Jina katika lugha mama | Andrea Barzagli |
Jina halisi | Andrea |
Jina la familia | Barzagli |
Tarehe ya Kuzaliwa | 8 Mei 1981 |
Mahali alipozaliwa | Fiesole |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiitalia |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | centre-back |
Ligi | Bundesliga |
Muda wa kazi | 1998 |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Tuzo iliyopokelewa | Knight of the Order of Merit of the Italian Republic, Officer of the Order of Merit of the Italian Republic |
Funga
Barzagli alimuoa mkewe Maddalena mwezi Julai 2013 na wana mtoto mmoja wa kiume, Mattia na mmoja wa kike, Camilla.