Adolfo wa Osnabruck
From Wikipedia, the free encyclopedia
Adolfo wa Osnabruck, O.Cist. (pia: Adolphus, Adolph, Adolf ; Tecklenburg, 1185 hivi - 30 Juni 1224) alikuwa askofu wa Osnabruck, Ujerumani kuanzia mwaka 1216 hadi kifo chake[1], baada ya kuwa padri, halafu mmonaki wa urekebisho wa Citeaux[2] [3].
Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.