Abrahamu wa AleksandriaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Abrahamu wa Aleksandria (Ebn-Zaraa, Syria - 3 Desemba 978) kuanzia mwaka 975 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 62 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Picha takatifu ya Mt. Abrahamu.
Abrahamu wa Aleksandria (Ebn-Zaraa, Syria - 3 Desemba 978) kuanzia mwaka 975 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 62 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Picha takatifu ya Mt. Abrahamu.