Zweibrücken
From Wikipedia, the free encyclopedia
Zweibrücken ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 34.109.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Zweibrücken | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Rhine-Palatino |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 34.109 |
Tovuti: http://www.zweibruecken.de/ |
Funga