Ziwa Balkhash
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ziwa Balkhash (kwa Kikazakhi: Балқаш көлі, Balqaş kóli; kwa Kirusi: Озеро Балхаш, Ozero Balkhash) ni moja ya maziwa makubwa zaidi barani Asia na ziwa kubwa la tano duniani. Liko katika Asia ya Kati, mashariki mwa Kazakhstan ndani ya beseni linaloshirikiwa na Kazakhstan na China, pamoja na sehemu ndogo ya Kirgizia. Beseni halina njia ya maji kutoka nje.
Ukweli wa haraka Mahali, Anwani ya kijiografia ...
Ziwa Balkhash | |
---|---|
Picha ya satelaiti mnamo Aprili 1991 | |
Ramani ya beseni ya Ziwa Balkhash | |
Mahali | Kazakhstan |
Anwani ya kijiografia | 46°10′N 74°20′E |
Aina ya ziwa | Ziwa la chumvi |
Mito ya kuingia | mito ya Ili, Karatal, Aksu, Lepsy, Byan, Kapal, Koksu |
Mito ya kutoka | uvukizaji |
Nchi za beseni | Kazakhstan 85% China 15% |
Urefu | km 605 |
Upana | Mashariki km 19, magharibi km 74 |
Eneo la maji | km2 16400 |
Kina cha wastani | m 5.8 |
Kina kikubwa | m 26 |
Mjao | km3 106 |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | m 341.4 |
Huganda | Novemba hadi Machi |
Funga