Zürich
jiji katika Uswisi Kaskazini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Zürich ni mji mkuu wa Jimbo la Zürich nchini Uswisi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 382,000.
Ukweli wa haraka Nchi, Majimbo ...
Jiji la Zürich | |
Mahali pa mji wa Zürich katika Uswisi |
|
Majiranukta: 47°22′44″N 8°32′28″E | |
Nchi | Uswisi |
---|---|
Majimbo | Jimbo la Zürich |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 382.000 |
Tovuti: www.stadt-zuerich.ch |
Funga