Yul Brynner
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yul Brynner (11 Julai 1920 – 10 Oktoba 1985) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Broadway na Hollywood. Brynner alizaliwa Urusi lakini baadaye alikuja kuwa raiya wa Marekani. Ameonekana katika filamu nyingi za Marekani. Vilevile katika filamu za Italia (Spaghetti Western) alicheza Seven Magnificent na nyingine nyingi tu. Brynner alikufa kwa ugonjwa kansa ya ini.
Ukweli wa haraka Yul Brynner ...
Yul Brynner | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Yuliy Borisovich Bryner |
Alizaliwa | 11 Julai 1920 |
Kafariki | 10 Oktoba 1985 |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1941 - 1985 |
Ndoa | Virginia Gilmore (1944 - 1960) Doris Kleiner (1960 - 1967) Jacqueline Thion de la Chaume (1971 - 1981) Kathy Lee (1983 -1985) |
Wazazi | Boris Yuliyevich Bryner Marousia Dimitrievna Blagovidova |
Funga