Wilhelm Bleek
mwanaisimu wa Kijerumani (1827-1875) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (8 Machi 1827 - 17 Agosti 1875) alikuwa mwanaisimu na mwandishi Mjerumani aliyeishi nchini Afrika Kusini. Anajulikana hasa kwa kuandika kitabu cha sarufi ya Kizulu pamoja na tafiti nyingi za lugha za Kibantu.