Wilaya ya Marijampolė
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Marijampolė (Kilithuania: Marijampolės apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 188,800. Mji wake mkuu ni Marijampolė.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Wilaya ya Marijampolė | |||
| |||
Mahali pa Wilaya ya Marijampolė katika Lituanya | |||
Nchi | Lituanya | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Marijampolė | ||
Eneo | |||
- Jumla | 4,463 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 188,800 |
Funga