Visiwa vya Cook
From Wikipedia, the free encyclopedia
Visiwa vya Cook (kwa Kiingereza: Cook Islands, kwa Kimaori: Kūki 'Āirani) ni nchi huru ya Polynesia katika Pasifiki iliyopo katika hali ya ushirikiano wa hiari na Nyuzilandi.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Te Atua Mou E Mungu ni Ukweli | |||||
Mji mkuu | Avarua 21°12′ S 159°46′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Avarua | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza Kimaori | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Charles III wa Uingereza Tom Marsters Mark Brown | ||||
Uhuru Kujitawala kwa ushirikano wa hiari na New Zealand |
4 Agosti 1965 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
240 km² (ya 209) -- | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2021 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 223) 15,040 66/km² (ya 138) | ||||
Fedha | Dollar ya New Zealand (pia Dollar ya Cook Islands) ( NZD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-10) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ck | ||||
Kodi ya simu | +682
- |
Funga
Eneo lake ni visiwa vidogo 15 vyenye eneo la km² 240.