Valparaiso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Valparaíso (au 'Valpo') ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Valparaíso katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 280,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 0-336 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Valparaíso | |||
| |||
Majiranukta: 33°03′00″S 71°37′00″W | |||
Nchi | Chile | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Valparaíso | ||
Wilaya | Valparaíso | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 276,474 | ||
Tovuti: www.municipalidaddevalparaiso.cl |
Funga