Uingereza Kusini-Mashariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uingereza Kusini-Mashariki (Kiing.: South East England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 8,000,550. Mji wake mkuu ni Southampton.
Ukweli wa haraka Nchi, Sehemu ...
South East England | |
Mahali pa Uingereza Kusini-Mashariki katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Southampton |
Eneo | |
- Jumla | 19,096 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 8,000,550 |
Tovuti: http://www.southeast-ra.gov.uk/ |
Funga