Eire
nchi ya visiwa katika Ulaya Kaskazini-Magharibi / From Wikipedia, the free encyclopedia
Eire (pia: Ireland, Ayalandi; kwa Kiingereza mara nyingi Republic of Ireland) ni nchi ya kisiwani katika funguvisiwa la Britania ya Ulaya.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Amhrán na bhFiann "Wimbo wa Askari" | |||||
Mji mkuu | Dublin 53°26′ N 6°15′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Dublin | ||||
Lugha rasmi | Kieire, Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Michael D. Higgins Micheál Martin | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa Katiba |
24 Aprili 1916 6 Desemba 1922 29 Desemba 1937 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
70,273 km² (ya 120) 2.00 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
4,609,600 (ya 121) 65.3/km² (ya 142) | ||||
Fedha | Euro (€)1 (EUR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET (UTC+0) IST (WEST) (UTC+1) | ||||
Intaneti TLD | .ie2 | ||||
Kodi ya simu | +353
- | ||||
1 kabla ya 1999: Irish pound. 2 kuna pia anwani za .eu (Umoja wa Ulaya) |
Funga
Eire ilitawaliwa na Uingereza hadi mwaka 1922. Sehemu ya kaskazini ya kisiwa imebaki kama sehemu ya Ufalme wa Muungano (pamoja na Uingereza, Uskoti na Welisi).