Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1996
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1996 ulikuwa wa 53 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Bill Clinton (pamoja na kaimu wake Al Gore) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Bob Dole (pamoja na kaimu wake Jack Kemp).