Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1920
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1920 ulikuwa wa 34 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Republican Party", Warren G. Harding (pamoja na kaimu wake Calvin Coolidge) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" James M. Cox (pamoja na kaimu wake Franklin D. Roosevelt).