Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1904
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1904 ulikuwa wa 30 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 8 Novemba. Upande wa "Republican Party", Rais Theodore Roosevelt (pamoja na kaimu wake Charles Fairbanks) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Alton Parker (pamoja na kaimu wake Henry Davis).