Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1896
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1896 ulikuwa wa 29 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Republican Party", William McKinley (pamoja na kaimu wake Garret Hobart) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" William Jennings Bryan (pamoja na kaimu wake Arthur Sewall).