Topeka, Kansas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Topeka ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kansas nchini Marekani. Mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ilikadiriwa kuwa ni 122,647. Mji ulianzishwa mnamo tar. 5 Desemba 1854. Mji upo ft 945 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Topeka, Kansas | |
Mahali pa mji wa Topeka katika Marekani |
|
Majiranukta: 39°03′21″N 95°41′22″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Kansas |
Kitongoji | Shawnee |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 122,377 |
Tovuti: www.topeka.org |
Funga