Tokat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tokat ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyeusi ya Anatolia huko nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Tokat. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji wa Tokat una wakazi takriban 113,100 wanaoishi katika mji huu.